Wednesday, April 11, 2012

HII INAWEZA KUWA SAHIHI

Katika nchi za wenzetu ambazo bado zinatawaliwa kifalume swala la kuoa bado linatiliwa umuhim, kama unavoona hapa katika picha wote hawa wamepanga mstari kisha wanapita mbele ya Mfalume ili aweza kuchagua mke anae mfaa.Je kwa hali kama hii ataweza pata mke anae mafaa au anapata mke anae mtamani? Kama umeipenda hii toa maoni yako.

Mwanza City - Rock City